LIFE REVIVAL COMPANY
Inakuletea Program Ya:


Pata Mabadiliko ya Kiafya Unayostahili kwa Kujifunza Sababu Halisi za magonjwa Makubwa ya Kiafya na Kuyatibu kwa Mbinu Zilizothibitishwa, Kupitia vyakula halisi , na Tiba Asili Ambazo Watu Wengi HAWATAZIPATA KAMWE.

Pata Siri za Praxeda Makanshu za Kuboresha Afya Yako Kiasili Bila Kutegemea Dawa!

Course inaanza tarehe: 15th/November/2024

VITU UTAKAVYOPATA

KUTOKA KWETU


Wiki 5 za Elimu ya Juu za Mabadiliko ya Afya: Mpango wa Kipekee wa Mastermind Group kutoka kwa Praxeda Makanshu unaosaidia watu kufikia afya bora na nguvu kiasili.

Shika usukani wa Afya Yako: Jifunze njia za asili za kukabiliana na matatizo ya afya na kuwa mzima kiafya na mwenye furaha muda wote.

Kuwa doctor Familia Yako: Pata ujuzi wa kushauri kuhusu tiba asili nyumbani.

Ujue Mwili Wako: Gundua jinsi mwili wako unavyoreact kwa hali tofauti na jinsi ya kuutunza.

Kula chakula bora chenye afya: Bobea katika mipango sahihi ya vyakula kizuri na kitamu lakini chenye afya.

Kuwa mzima na mwenye furaha kiasili: Tumia mbinu rahisi za asili kuboresha afya na furaha yako.

Fanya Maamuzi ya Kiafya kwa Kujiamini: Kupitia maarifa utakayopata, utajiamini kwenye kile unafanya kwa kujua kitakupa matokeo kwa urahisi na bila kutumia nguvu nyingi.

Ishi Vizuri Kila Siku: Ingia katika maisha yenye afya zaidi na ya kuridhisha

+ PIA KUNA BONUS ZAIDI

BONASI #1:

Maktaba ya Video ya Kipekee: Upate Ufikiaji Wakati Wote, Mahali Pote -

Pata mkusanyiko wa kipekee wa zaidi ya video 10 zenye maarifa, zilizoandaliwa kukuelekeza ili uwe na njia afya bora. Angalia kwa muda wako na rudi kwenye kipindi chochote wakati wowote unapotaka kujikumbushia. Inafaa kwa kudumisha safari yako ya afya!

BONASI #2: Jifunze Kuhusu Magonjwa Zaidi ya 20:

Jifunze maarifa kuhusu magonjwa zaidi 20 ya kawaida, pamoja na suluhisho za tiba za asili.

BONASI #3:

Jifunze namna yakujipima na kujitibia kwa Acupressure-

Jifunze kutambua usawa wa mwili na kujitibia kiasili, yote bila kutembelea hospitali.

Gharama ya Course: [Tsh50,000]


YAKO LEO KWA  Tsh 25000!

Get Advanced 5 week of health transformation Plus The Amazing Bonuses Now!

Pay by Vodacom Lipa Number : 35383767

NAME: Praxeda Makanshu (TSH 25,000.)

Baada ya Malipo tuma screenshot WhatsApp: 0746956774 or 0754501193

30 Day Money-Back Guarantee

This course won't work if you don't work. But if for some reason you aren't on your way to real success in the first 30 days, email us and we will take care of your refund!

Jisajili na ujiunge kwenye community ya magroup yetu ya WhatsApp

I Consent to Receive WhatsApp Notifications, Alerts & Occasional Marketing Communication from Life Revival Company. Message frequency varies. Text HELP to +255(0) 746-956774 for assistance. You can reply STOP to unsubscribe at any time.

Contact support desk : +255(0)746956774

THE Advanced 5 week of health transformation


Mabadiliko ya Afya ya Juu ya Wiki 5 ni safari ya kina iliyoundwa kukusaidia hatimaye kuelewa changamoto zako za kiafya, kujua mpangilio bora ya lishe, na kutumia tiba asili kwa ajili ya maisha yenye afya.

Iwe unajisikia kusimama kiafya, unatafuta kubadilisha mwelekeo au unatafuta tu njia za kuimarisha afya. njia , zana, na vifaa vilivyotumiwa ndani ya program hii ya Mastermind Course ni funguo zako za kufungua mwili na mafanikio kwa ujumla.

Praxeda Makanshu amewekeza miaka sita (6) ya uzoefu katika masuala ya kiafya , akishiriki mbinu zenye ufanisi zaidi za kudhibiti matatizo ya afya kama vile shinikizo la damu la juu(pressure) na kisukari,mwili kupata ganzi, vidonda vya tumbo,matatizo ya nguvu za kiume na pia kujua njia asili za kudumisha afya (na vile ambavyo unapaswa kuepuka)...

Jua haya yote na siri za karibu zaidi za Praxeda Makanshu katika Mabadiliko ya Afya ya Juu ya Wiki 5!

What Do Others Have To Say About Praxeda Makanshu's Life Changing Education?

30 Day Money-Back Guarantee

This course won't work if you don't work. But if for some reason you aren't on your way to real success in the first 30 days, email us and we will take care of your refund!

© 2024 Armando.Davis - All rights reserved